
Saliboko Investment
Huduma Bora za Kifedha
Tafuta matofali, simu, na huduma za kifedha kwa urahisi na uaminifu.
Kuhusu Saliboko Investment Company
Saliboko Investment Company Limited ni kampuni inayotoa huduma bora za biashara, ikiwa ni pamoja na mauzo ya matofali, simu, na huduma za kifedha.


Huduma Zetu
Tunatoa matofali bora, simu, huduma za wakala wa pesa, na mikopo ya kifedha.




Matofali Bora
Tunakuletea matofali ya ubora wa juu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako ya ndoto.
Huduma za Simu
Pata simu za kisasa na za kuaminika kwa bei nafuu kutoka kwa Saliboko Investment Company.
Picha za Huduma
Tazama picha zetu za matofali, simu, na huduma za kifedha.








Huduma bora na bidhaa za hali ya juu, saliboko investment ni chaguo langu la kwanza.
Miriam S. Mohamed


★★★★★
Asanteni sana kwa huduma nzuri.
★★★★★
Mabula M. Lutembeja
Mzigo unafika kwa uharaka na uhakika! Nimependa huduma zenu.
★★★★★


Kabula J. Saimoni